Home » » Shehe ponda tena: CCM Zanzibar kimevitaka vyombo vya dola kumkamata SHEIKH PONDA kwa tuhuma za uchochezi.

Shehe ponda tena: CCM Zanzibar kimevitaka vyombo vya dola kumkamata SHEIKH PONDA kwa tuhuma za uchochezi.

Licha ya kuendelea kutumikia kifungo cha nje cha mwaka mmoja, katibu wa mihadhara ya waislam Tanzania, Shehe ISSA PONDA, anatumhumiwa tena na chama cha mapinduzi CCM kwa tuhuma za uchochezi... huku chama hiko kikivitaka vyombo vya dola kumkamata mara moja.

kwa mujibu wa vyombo mbalimbali vya habari, inasemekana kuwa, CCM kimeshtushwa na mwenendo wa PONDA wa kuendelea kuwachochea raia waichukie serikali na viongozi wa serikali kutokana na kauli zake mbalimbali anazozitoa ktk maeneo mbalimbali. 

Hata hivyo, habari zilizopatikana punde inasemekana kuwa, tayari jeshi la POLISI linamsaka kwa ""udi na uvumba"" katibu huyo wa mihadhara ya waislam licha kuwa kifungoni kutumikia kifungo cha nje alichoadhibiwa miezi kadhaa iliyopita kutokana na tuhuma kama hizi............ endelea kufatilia blog hii kwa taarifa zaidi kuhusu habari hii.
>MUNGU IBARIKI TANZANIA

Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan Tanzania Mpya untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Hisia za Mwananchi

1 comments:

 
Support : Copyright © 2013. Tanzania Mpya - All Rights Reserved
Template Modify by Hisia za Mwananchi
Proudly powered by Hisia