Home » » NEWS ALERT: Shehe PONDA APIGWA RISASI MOROGORO, akimBIA, HAJULIKANI ALIKOKIMBILIA...........>>>>>>>>>

NEWS ALERT: Shehe PONDA APIGWA RISASI MOROGORO, akimBIA, HAJULIKANI ALIKOKIMBILIA...........>>>>>>>>>

habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa, katibu wa mihadhara ya waislam, shehe ponda, amepigwa risasi mjini morogoro, na kujeruhiwa . 




Inasemekana Dhahama hiyo imempata baada ya kushuka kwenye tax ambako kulikuwa leo akiendesha mhadhala baada ya mhadhala huo kukawa kama kuna maandamano kueleke barabarani, gafla polisi walitokea na kuanzanza kutawanya wakati huo yeye alikuwa hayupo. 



Ndipo mda mdogo akawasili akashuka na ndipo akapigwa risasi ambapo haijulikani ni nani aliyempiga risasi.

RPC, Faustine Shilogile, anasema hali ni shwari ila Ponda hajui hali yake Maana polisi walizuia gari la Ponda wamkamate, lakini wananchi wakaanza kushambulia polisi ndipo wakarusha risasi hewani kutawanya watu, lakini wananchi wakamtorosha. Anasema taarifa ni nyingi za uongo, hakuna watu polisi wala hospitali waliozingira na anaomba anayejua alipo atoe taarifa.

Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan Tanzania Mpya untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Hisia za Mwananchi

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2013. Tanzania Mpya - All Rights Reserved
Template Modify by Hisia za Mwananchi
Proudly powered by Hisia