Katika kile kinachoonesha kuwa CCM kipo juu sheria na kuleta mknganyiko kwa watu.......
Chama cha Mapinduzi wakiongozwa na Mbunge wa jimbo la Segerea na Naibu waziri Makongoro Mahanga wamefanyia mkutano kwenye mlango wa kituo cha Polisi kana kwamba hakuna viwanja vingine.
Polisi wakashindwa kufanya kazi zao za kila siku
kwa sababu wanachama na wapenzi wa CCM walikuwa wamejaa mlangoni mlangoni.
SWALI: Hivi vyama vingine vya upinzani vingefanya vile mlangoni mwa polisi ingekuwaje? cheki picha inavyoonekana
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2017 EXAMINATION RESULTS
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA *PSLE-2017 EXAMINATION RESULTS*
------------------------------
ARUSHA
DAR ES SALAAM
DODOMA
IRINGA
KAGERA
KIGOM...
8 years ago

Dar Es Salaam Time
0 comments:
Post a Comment