Marekani yaitaka Rwanda kusitisha mara moja misaada ya kijeshi kwa waasi wa M23 nchini Congo. Uchunguzi wa UN umepata ushahidi wa wazi kuwa Serikali ya Rais Kagame imekuwa ikitoa msaada wa kijeshi kwa waasi nchini Congo.
A M23 rebel trainer walks behind recruits during a training session at the Rumangabo military camp in eastern Democratic Republic of Congo, May 16, 2013.
0 comments:
Post a Comment